sw_tn/act/05/14.md

21 lines
514 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Luka anatoa maelezo juu ya watu waliokuwa wakiishi Yerusalemu
# waamini wengi walikuwa wakiongezeka kwa Bwana
Watu wengi walikuwa wakimwamini Bwana.
# ili kwamba Petro akiwa anapita, kivuli chake kiweze kushuka juu yao
Inamaanisha kuwa Mungu angeweza kuwaponya wagonjwa kama kivuli cha Petro kingewagusa.
# wote waliopagawa na roho wachafu,
"Wale ambao roho wachafu walikuwa wamewapagaa. Waliokuwa wakiteswa na roho wachafu"
# wote waliponywa.
Mungu aliwaponya wote kwa njia ya mitume