# Maelezo ya jumla Luka anatoa maelezo juu ya watu waliokuwa wakiishi Yerusalemu # waamini wengi walikuwa wakiongezeka kwa Bwana Watu wengi walikuwa wakimwamini Bwana. # ili kwamba Petro akiwa anapita, kivuli chake kiweze kushuka juu yao Inamaanisha kuwa Mungu angeweza kuwaponya wagonjwa kama kivuli cha Petro kingewagusa. # wote waliopagawa na roho wachafu, "Wale ambao roho wachafu walikuwa wamewapagaa. Waliokuwa wakiteswa na roho wachafu" # wote waliponywa. Mungu aliwaponya wote kwa njia ya mitume