sw_tn/2ti/04/intro.md

422 B

2 Timotheo 04 Maelezo kwa jumla

Muundo na mpangilio

"Napeana amri hii ya dhati"

Paulo anapeana mashauri ya kibinafsi kwa Timotheo

Dhana Muhimu katika Sura hii

Taji

Maandiko matakatifu yanatumia aina nyingi ya mataji kama mfano wa vitu vingi. Inaonekana Kristo atawatuza waumini wake kama taji la kuishi maisha mazuri

__<< | __