sw_tn/2ti/04/intro.md

19 lines
422 B
Markdown

# 2 Timotheo 04 Maelezo kwa jumla
### Muundo na mpangilio
#### "Napeana amri hii ya dhati"
Paulo anapeana mashauri ya kibinafsi kwa Timotheo
### Dhana Muhimu katika Sura hii
#### Taji
Maandiko matakatifu yanatumia aina nyingi ya mataji kama mfano wa vitu vingi. Inaonekana Kristo atawatuza waumini wake kama taji la kuishi maisha mazuri
## Links:
* __[2 Timothy 04:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../03/intro.md) | __