# 2 Timotheo 04 Maelezo kwa jumla ### Muundo na mpangilio #### "Napeana amri hii ya dhati" Paulo anapeana mashauri ya kibinafsi kwa Timotheo ### Dhana Muhimu katika Sura hii #### Taji Maandiko matakatifu yanatumia aina nyingi ya mataji kama mfano wa vitu vingi. Inaonekana Kristo atawatuza waumini wake kama taji la kuishi maisha mazuri ## Links: * __[2 Timothy 04:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../03/intro.md) | __