sw_tn/2ti/02/06.md

17 lines
466 B
Markdown

# Mkulima mwenye bidii apokee ujira wa mazao yake kwanza
Huu ni mfano wa tatu kwamba Paulo anampa Timotheo, msomaji anapaswa kuelewa kuwa watumishi wa Kristo wanahitaji kufanya kazi kwa bidii.
# Fikiria juu ya ninachosema
Paulo alimpa Timotheo neno la picha, lakini hakuweza kabisa kuelezea maana zake, Yeye anatarajia Timotheo kufikiri nini alikuwa akisema kuhusu watumishi wa Kristo.
# kwa maana Bwana
kwa sababu Bwana
# Kwa kila kitu
"kuhusu vitu vyote"