# Mkulima mwenye bidii apokee ujira wa mazao yake kwanza Huu ni mfano wa tatu kwamba Paulo anampa Timotheo, msomaji anapaswa kuelewa kuwa watumishi wa Kristo wanahitaji kufanya kazi kwa bidii. # Fikiria juu ya ninachosema Paulo alimpa Timotheo neno la picha, lakini hakuweza kabisa kuelezea maana zake, Yeye anatarajia Timotheo kufikiri nini alikuwa akisema kuhusu watumishi wa Kristo. # kwa maana Bwana kwa sababu Bwana # Kwa kila kitu "kuhusu vitu vyote"