sw_tn/2ti/01/08.md

61 lines
1.5 KiB
Markdown

# Ushuhuda
"kushuhudia" au "kuwaambia wengine"
# Ushiriki mateso kwa ajili ya injili
Paulo aliteseka kimakosa kwa ajili ya injili. Anamwambia Timotheo asiogope kuteseka kwa ajili ya ijnili.
# Sawasawa na nguvu za Mungu
"Kumruhusu Mungu kukupa nguvu"
# Sio kwa ajili ya kazi zetu
"Sio kwa sababu ya mambo mengi mazuri tuliyoyafanya tummeokolewa" au " Mungu hakutuokoa kwa sababu ya mambo mazuri tuliyoyafanya" au "Mungu alituokoa japokuwa tulifanya mambo mabaya"
# Aliyetuokoa kwa mipango yake mwenyewe
"Mungu alipanga kutuokoa na sasa ametuokoa" au "Mungu aliamua kutuokoa ni vipi atatuokoa na sasa ametuokoa" au "aliyetuokoa... kama alivyopanga"
# Tangu mwanzo
"Kabla ulimwengu haujaanza" au "kabla ya mwanzo"
# wokovu wa Mungu umefunuliwa kwa kuja kwa mwokozi wetu Yesu Kristo
"Mungu ameonyesha namna ambavyo anaweza kutuokoa kwa kutupa mkombozi wetu Masihi Yesu kufunuliwa"
# Aliyeondoa mauti
"Aliyeondoa nguvu ya kifo juu yetu"
# kuleta uzima usiokwisha kwenye mwanga katika injili
"Kufundisha ni maisha gani yasiyokuwa na mwisho kwa kuhubiri injili"
# Niliteuliwa kuwa muhubiri
"Mungu alinichagua kuhubiri ujumbe"
# Mtumwa wake
"mtumwa kwa ajili yake" au "mtumwa kwa sababu nashuhudia habari za Bwana"
# kwa Kristo Yesu
"kupitia mahusiano Yetu na Kristo Yesu"
# kwa wito mtakatifu
"Tumetengwa kuwa watu wake kwa wito mtakatifu" au "kuwa watu wake watakatifu"
# Alifanya haya
"alituokoa na kutuita sisi"
# Kwa kuja mkombozi wety Kristo Yesu
"kwa kumtuma mkombozi wetu Yesu Kristo."