# Ushuhuda "kushuhudia" au "kuwaambia wengine" # Ushiriki mateso kwa ajili ya injili Paulo aliteseka kimakosa kwa ajili ya injili. Anamwambia Timotheo asiogope kuteseka kwa ajili ya ijnili. # Sawasawa na nguvu za Mungu "Kumruhusu Mungu kukupa nguvu" # Sio kwa ajili ya kazi zetu "Sio kwa sababu ya mambo mengi mazuri tuliyoyafanya tummeokolewa" au " Mungu hakutuokoa kwa sababu ya mambo mazuri tuliyoyafanya" au "Mungu alituokoa japokuwa tulifanya mambo mabaya" # Aliyetuokoa kwa mipango yake mwenyewe "Mungu alipanga kutuokoa na sasa ametuokoa" au "Mungu aliamua kutuokoa ni vipi atatuokoa na sasa ametuokoa" au "aliyetuokoa... kama alivyopanga" # Tangu mwanzo "Kabla ulimwengu haujaanza" au "kabla ya mwanzo" # wokovu wa Mungu umefunuliwa kwa kuja kwa mwokozi wetu Yesu Kristo "Mungu ameonyesha namna ambavyo anaweza kutuokoa kwa kutupa mkombozi wetu Masihi Yesu kufunuliwa" # Aliyeondoa mauti "Aliyeondoa nguvu ya kifo juu yetu" # kuleta uzima usiokwisha kwenye mwanga katika injili "Kufundisha ni maisha gani yasiyokuwa na mwisho kwa kuhubiri injili" # Niliteuliwa kuwa muhubiri "Mungu alinichagua kuhubiri ujumbe" # Mtumwa wake "mtumwa kwa ajili yake" au "mtumwa kwa sababu nashuhudia habari za Bwana" # kwa Kristo Yesu "kupitia mahusiano Yetu na Kristo Yesu" # kwa wito mtakatifu "Tumetengwa kuwa watu wake kwa wito mtakatifu" au "kuwa watu wake watakatifu" # Alifanya haya "alituokoa na kutuita sisi" # Kwa kuja mkombozi wety Kristo Yesu "kwa kumtuma mkombozi wetu Yesu Kristo."