sw_tn/2pe/02/intro.md

704 B

2 Peter 02 Maelezo kwa ujumla

Dhana muhimu katika sura hii

Nyama

"Nyama" ni mfano ya asili ya dhambi ya mtu. Siyo sehemu ya kimwili ya binadamu iliyo na dhambi. "Nyama" inawakilisha asili ya binadamu inayokataa vitu vyote vya uungu na kutamani vitu vya kidhambi. Hii ndiyo hali ya binadamu wote kabla ya kumpokea Roho Mtakatifu kwa njia ya kumwamini Yesu Krsito. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/flesh)

Mafundisho fiche

Kuna ulinganifu katika 2:4-8 ambao ni mgumu kuelewa iwapo Agano la kale halijatafsiriwa. Maelezo zaidi ni muhimu. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-explicit)

<< | >>