sw_tn/2pe/03/intro.md

703 B

2 Petero 03 Maelezo kwa jumla

Dhana muhimu katika sura hii

Moto

Watu hutumia moto mara nyingi kuharibu vitu ama kukifanya kitu kiwe safi kwa kuondoa uchafu na vitu visivyofaa. Kwa hivyo Mungu anapowadhibu waovu ama kuwatakaza watu wake, huwa inalinganishwa na moto. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/other/fire)

Siku ya Bwana

Wakati kamili wa kurudi kwa Bwana itakuwa mshangao kwa wengi. Hii ndiyo maana ya tashbihi "kama mwizi wa usiku". Kwa sababu ya haya Wakristo wanafaa wajiandae kwa ajili ya kurudi kwake Bwana. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/dayofthelord and rc://en/ta/man/translate/figs-simile)

__<< | __