sw_tn/1jn/05/intro.md

859 B

1 Yohana 05 Maelezo ya Jumla

Dhana maalum katika sura hii

Watoto waliozaliwa kutoka kwa Mungu

Watu wanapoamini Yesu, Mungu huwafanya watoto wake na kuwapa uzima wa milele. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/believe)

Kuishi Kikristo

Watu wanaomwamini Yesu wanapaswa kutii amri za Mungu na kupenda watoto wake.

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

Kifo

Wakati Yohana anaandika juu ya kifo katika sura hii, anaelezea kifo cha kimwili. (See: rc://en/tw/dict/bible/other/death)

"Ulimwengu wote upo katika uwezo wa mwovu"

Maneno "yule mwovu" yanamaanisha Shetani. Mungu amemruhusu aongoze ulimwengu, lakini hatimaye Mungu ana mamlaka juu ya kila kitu. Mungu anawaweka watoto wake salama mbali na mwovu. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/satan)

__<< | __