sw_tn/1co/15/intro.md

1010 B

1 Wakorintho 15 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Ufufuo

Sura hii inajumuisha mafundisho muhimu kuhusu ufufuo wa Yesu. Watu wa Kigiriki hawakuamini kwamba mtu anaweza kuishi baada ya kufa. Paulo anatetea ufufuo wa Yesu. Anafundisha kwa nini ni muhimu kwa waumini wote. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/resurrection]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/believe)

Dhana maalum katika sura hii

Ufufuo

Paulo anaonyesha ufufuo kama ushahidi wa mwisho kwamba Yesu ni Mungu. Kristo ni wa kwanza kati ya wengi ambao Mungu atawafufua. Ufufuo ni muhimu kwa Injili. Mafundisho machache tu ni ya muhimu kama haya.(See: rc://en/tw/dict/bible/kt/goodnews]] and [[rc://en/tw/dict/bible/other/raise)

Mifano muhimu za matamshi katika sura hii

Paulo anatumia mifano nyingi za matamshi katika sura hii. Anazitumia kueleza mafundisho magumu ya kitheolojia kwa namna ambayo watu wanaweza kuelewa.

<< | >>