sw_tn/1co/14/intro.md

938 B

1 Wakorintho 14 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Katika sura hii, Paulo anaandika tena kuhusu vipaji vya kiroho.

Baadhi ya tafsiri huweka kile kinanukuliwa kutoka kwenye Agano la Kale kwa upande wa kulia zaidi kwenye ukurasa; zaidi ya maandiko yote. ULB inafanya hivyo kwa maneno ya mstari wa 21.

Dhana maalum katika sura hii

Ndimi

Wasomi hawakubaliani juu ya maana halisi ya kipaji cha ndimi. Paulo anaelezea kipaji cha ndimi kama ishara kwa wasioamini. Haitumiki kwa kanisa lote, isipokuwa mtu akielezea kile kinachosemwa. Ni muhimu sana kwamba kanisa linatumia kipaji hiki vizuri.

Unabii

Wasomi hawakubaliani juu ya maana halisi ya unabii kama kipaji cha kiroho. Paulo anasema manabii wanaweza kujenga kanisa lote. Anaelezea unabii kama kipaji kwa waumini. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/prophet)

<< | >>