sw_tn/1co/10/11.md

33 lines
735 B
Markdown

# mambo haya yalitokea kwao
"Mungu aliwaadhibu babu zetu"
# mifano kwetu.
Hapa "sisi" ina rejea kwa waumini wote.
# Yaliandikwa ili yawe mafundisho kwetu
katika muundo tendaji:- " Mungu alitaka Musa ayaandike ili tujifunze kutenda kwa usahihi"
# nyakati za mwisho
" siku za mwisho"
# asije akaanguka
hafanyi dhambi au kumkana Mungu
# Hakuna jaribu lililowapata ninyi lisilo kawaida ya wanadamu
katika mtazamo chanya "majaribu ambayo yanawaathiri ninyi ni majaribu ambayo yanawapata watu wote."
# Hatawaacha mjaribiwe kupita uwezo wenu
" Mungu ataruhusu mjaribiwe katika namna ambayo mtakuwa imara kiasi cha kutosha kupata ushindi"
# Hatawaacha mjaribiwe
maelezo katika muundo tendaji "hataruhusu mtu yeyote awajaribu"