# mambo haya yalitokea kwao "Mungu aliwaadhibu babu zetu" # mifano kwetu. Hapa "sisi" ina rejea kwa waumini wote. # Yaliandikwa ili yawe mafundisho kwetu katika muundo tendaji:- " Mungu alitaka Musa ayaandike ili tujifunze kutenda kwa usahihi" # nyakati za mwisho " siku za mwisho" # asije akaanguka hafanyi dhambi au kumkana Mungu # Hakuna jaribu lililowapata ninyi lisilo kawaida ya wanadamu katika mtazamo chanya "majaribu ambayo yanawaathiri ninyi ni majaribu ambayo yanawapata watu wote." # Hatawaacha mjaribiwe kupita uwezo wenu " Mungu ataruhusu mjaribiwe katika namna ambayo mtakuwa imara kiasi cha kutosha kupata ushindi" # Hatawaacha mjaribiwe maelezo katika muundo tendaji "hataruhusu mtu yeyote awajaribu"