sw_tn/1co/02/intro.md

843 B

1 Wakorintho 02 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Baadhi ya tafsiri huweka kila mstari wa mashairi upande wa kulia zaidi kuliko maandiko yote ili iwe rahisi kusoma. ULB hufanya hivi kwa maneno ya mistari ya 9 na 16, ambayo yanatoka Agano la Kale.

Dhana maalum katika sura hii

Hekima

Paulo anaendeleza majadiliano kutoka sura ya kwanza ambayo yanalinganisha hekima ya binadamu na hekima ya Mungu. Kwa Paulo, hekima inaweza kuwa rahisi na mawazo ya kibinadamu kuwa pumbavu. Alisema hekima kutoka kwa Roho Mtakatifu ndiyo hekima pekee ya kweli. Paulo anatumia neno "hekima iliyofichwa" wakati anapozungumzia ukweli uliojulikana hapo awali. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/wise]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/foolish)

<< | >>