|
# Maelezo ya Jumla:
|
|
|
|
Mistari hii inaelezea vita ya mwisho kwa mji wa Yerusalemu na jinsi Mungu atakavyouokoa
|
|
|
|
# kama apigavyo vita katika siku ya vita
|
|
|
|
"Kama alivyopiga vita zamani"
|
|
|
|
# miguu yake itasimama juu ya Mlima wa Mizeitun
|
|
|
|
"Miguu yake" inamtaja Yahwe mwenyewe.
|