# Maelezo ya Jumla: Mistari hii inaelezea vita ya mwisho kwa mji wa Yerusalemu na jinsi Mungu atakavyouokoa # kama apigavyo vita katika siku ya vita "Kama alivyopiga vita zamani" # miguu yake itasimama juu ya Mlima wa Mizeitun "Miguu yake" inamtaja Yahwe mwenyewe.