sw_tn/zec/12/04.md

28 lines
578 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Mistari hii inaendelea na sehemu inayozungumzia shambulio lijalo dhidi ya Yerusalemu na jinsi Mungu atakavyouokoa mji.
# siku hiyo
Siku majeshi yatakapoishambulia Yerusalemu.
# Hili ni tamko la Yahwe
Kifungu hiki mara kwa mara kinafasiriwa kama "asema Yahwe" Kifungu hiki kimetumika mara nyingi katika kitabu cha Zakaria.
# Nitaiangalia kwa upendeleo
"Nitailinda"
# nyumba ya Yuda
"watu wa Yuda"
# wasema mioyoni mwao
Inamaanisha kwamba watafikiri na kujisemea wenyewe.
# kwa sababu wa Yahwe wa majeshi
"kwa sababu wanamwabudu Yahwe wa majeshi"