sw_tn/zec/02/10.md

20 lines
346 B
Markdown

# binti Sayuni
Hili ni jina lingine kwa Yerusalemu linalorejerea kwa mji kama binti wa mji wa Sayuni ya mbinguni.
# kupiga kambi
kuweka mahema na kuyatumia
# Hili ni tamko la Yahwe
Kifungu hiki wakati mwingine kinatafasiriwa kama asema Yahwe
# mataifa watajikusanya kwa Yahwe
"mataifa yatamtii Yahwe"
# katika siku hiyo
"kwa wakati ule"