# binti Sayuni Hili ni jina lingine kwa Yerusalemu linalorejerea kwa mji kama binti wa mji wa Sayuni ya mbinguni. # kupiga kambi kuweka mahema na kuyatumia # Hili ni tamko la Yahwe Kifungu hiki wakati mwingine kinatafasiriwa kama asema Yahwe # mataifa watajikusanya kwa Yahwe "mataifa yatamtii Yahwe" # katika siku hiyo "kwa wakati ule"