sw_tn/tit/03/06.md

20 lines
545 B
Markdown

# kwa utajiri
"kwa wingi" au "ukarimu"
# alimwaga Roho Mtakatifu juu yetu
imekuwa kawaida kwa Waandishi wa Agano lake kumwongelea Roho Mtakatifu kama kimiminika ambacho humwagwa. "alitupa Roho Mtakatifu kwa ukarimu"
# kupitia Mwokozi wetu Yesu Kristo
"Yesu alipotuokoa sisi"
# tukiwa tumehesabiwa haki
"Mungu ametutangaza kuwa hatuna dhambi" "Tayari tumefanywa wenye haki na Mungu"
# tulifanyika warithi katika uhakika wa maisha ya milele.
Watu walioahidiwa na Mungu waongelewa kama warithi wa mali na utajiri kutoka kwa mwana familia.