# kwa utajiri "kwa wingi" au "ukarimu" # alimwaga Roho Mtakatifu juu yetu imekuwa kawaida kwa Waandishi wa Agano lake kumwongelea Roho Mtakatifu kama kimiminika ambacho humwagwa. "alitupa Roho Mtakatifu kwa ukarimu" # kupitia Mwokozi wetu Yesu Kristo "Yesu alipotuokoa sisi" # tukiwa tumehesabiwa haki "Mungu ametutangaza kuwa hatuna dhambi" "Tayari tumefanywa wenye haki na Mungu" # tulifanyika warithi katika uhakika wa maisha ya milele. Watu walioahidiwa na Mungu waongelewa kama warithi wa mali na utajiri kutoka kwa mwana familia.