sw_tn/tit/02/14.md

16 lines
323 B
Markdown

# alijitoa mwenyewe
"kujitoa mwenyewe afe kwa ajili yetu."
# kutukomboa kutoka katika uas
Paulo anamzungumzia Yesu aliyetukomboa kana kwamba anawaweka huru watumwa kutoka katika mikono ya mabwana zao waovu.
# watu maalumu
Ni kundi la watu anaowawekezea hazina
# walio na hamu
"kuwa na tamaa au hamu kubwa ya ajabu"