# alijitoa mwenyewe "kujitoa mwenyewe afe kwa ajili yetu." # kutukomboa kutoka katika uas Paulo anamzungumzia Yesu aliyetukomboa kana kwamba anawaweka huru watumwa kutoka katika mikono ya mabwana zao waovu. # watu maalumu Ni kundi la watu anaowawekezea hazina # walio na hamu "kuwa na tamaa au hamu kubwa ya ajabu"