sw_tn/tit/01/10.md

32 lines
802 B
Markdown

# sentensi unganishi
Kwa sababu ya wale wanaopinga neno la Mungu, Paulo anampa Tito sababu za kufundisha Neno la Mungu na kumwonya kuhusu waalimu wa uongo.
# watu waasi
Hawa ni watu waasi waliokuwa wakiupinga ujumbe wa injili ya Paulo.
# Wale wa tohara
inarejea wakristo wa Kiyahudi walikuwa wakifundisha kwamba ili kumfuata Kristo, mtu lazima atahiriwe.
# Maneno yao ni upuuzi
'Maneno yao hayana faida yoyote"
# Ni muhimu kuwakataza
"Ni lazima kuwazuia wasieneze mafundisho yao" au "Ni lazima kuwakataza kwa ushawishi wa maneno yao"
# yale wasiyotakiwa kufundisha
Vitu ambavyo si sahihi kuvifundisha kuhusu Kristo na sheria.
# Kwa faida ya aibu
"Hii inarejela faida ambayo watu wanapata kwa kufanya mambo yasiyo na heshima.
# Wanaharibu nyumba nzima
"huharibu imani za familia yote"