sw_tn/tit/01/06.md

32 lines
960 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Baada ya kuwa amekwisha kumwambia Tito kuwaweka kazini wazee katika kila mji katika kisiwa cha Krete, Paulo anatoa matakwa yanayohitajika kwa wazee.
# Mzee lazima asiwe na lawama
Kutokulaumiwa ni ilie hali ya kujulikana kuwa mtu huyo hatendi mambo mabaya. "Mzee lazima asiwe na sifa mbaya."
# Mme wa mke mmoja
"kuwa mme mwaminifu" Maana zinazokubalika 1) Mme ambaye hatafuti mahusiano na wanawake wengine au 2) asiye na mke wa pila au hawala au suria.
# Watoto waaminifu
Imaana zinazokubalika ni 1)watoto wanaomwaminiYesu au 2)watoto ambao ni waaminifu
# wasio na nidhamu
"waasi" au "ambao hawafuati maagizo"
# msimamizi wa nyumba ya Mungu
Paulo anaongelea juu ya wazee kana kwamba walikuwa vichwa vya familia, wakuu wa nyumba ya Mungu"
# Asiye...zoelea pombe
"asiwe mtu mwenye kutumia kileo" au "asiwe mnywaji" au "asiwe mlevi sana wa pombe"
# Asiwe mgomvi
"Asiwe mtu wa fujo"au "asiwe anapenda kupigana na kugombana"