sw_tn/sng/08/05.md

24 lines
340 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Hapa ni mwanzo wa Sehemu ya Sita ya kitabu, sehemu ya mwisho
# Ni nani huyu anaye kuja
"Mwangalie huyu mwanamke wa ajabu anaye kuja." Ona jinsi ulivyo tafsiri maneno kama haya 6:10
# nimekuamsha
"Nimekuamsha uamke"
# mti wa mpera
Ona jinsi ulivyo tafsiri 2:3
# pale
chini ya mpera
# alijifungua wewe
alikuzaa