# Maelezo ya Jumla Hapa ni mwanzo wa Sehemu ya Sita ya kitabu, sehemu ya mwisho # Ni nani huyu anaye kuja "Mwangalie huyu mwanamke wa ajabu anaye kuja." Ona jinsi ulivyo tafsiri maneno kama haya 6:10 # nimekuamsha "Nimekuamsha uamke" # mti wa mpera Ona jinsi ulivyo tafsiri 2:3 # pale chini ya mpera # alijifungua wewe alikuzaa