sw_tn/rom/08/14.md

20 lines
506 B
Markdown

# Maana kama ambavyo wengi wanaongozwa na Roho wa Mungu
"Kwa watu wote ambao Roho wa Mungu anawaongoza"
# wana wa Mungu
Hapa hii inamaanisha walioamini wote katika Yesu na mara nyingi hutafsiriwa kama "watoto wa Mungu."
# Kwa kuwa hamkupokea roho ya utumwa tena hata muogope
"Kwa kuwa Mungu hakuwapa ninyi roho inayowanya ninyi kuwa watumwa tena wa nguvu ya dhambi na hofu ya hukumu ya Mungu"
# ambayo kwayo tunalia
"inayotufanya sisi tulie"
# Abba, Baba
"Abba" ni "Baba" kwa lugha ya Kiaramaiki.