sw_tn/rev/09/20.md

8 lines
303 B
Markdown

# wale ambao walikuwa hawajauawa na mapigo haya
"wale ambao mapigo hayakuwaua"
# vitu ambavyo haviwezi kuona, kusikia au kutembea
Msemo huu unatukumbusha kuwa sanamu hazina uhai na hazistahili kuabudiwa. Lakini watu hawakuacha kuviabudu. "licha ya kwamba sanamu haziwezi kuona, kusikia, au kutembea"