# wale ambao walikuwa hawajauawa na mapigo haya "wale ambao mapigo hayakuwaua" # vitu ambavyo haviwezi kuona, kusikia au kutembea Msemo huu unatukumbusha kuwa sanamu hazina uhai na hazistahili kuabudiwa. Lakini watu hawakuacha kuviabudu. "licha ya kwamba sanamu haziwezi kuona, kusikia, au kutembea"