sw_tn/psa/144/003.md

12 lines
376 B
Markdown

# Yahwe, mtu ni nini hadi unamtambua au mwanadamu hadi unamfikiria?
"Mwanadamu ni mdogo sana ukilinganisha na vingine vyote ulivyoumba hadi ninashangaa kwamba unamtambua na kumwaza"
# mtu ... mwanadamu
maneno mawili yote yanamaanisha wanadamu
# kama pumzi ... kama kivuli kipitacho
Mwandishi anawafananisha wanadamu na hivi vitu kuonesha jinsi maisha yao yalivyo mafupi.