sw_tn/psa/062/011.md

16 lines
411 B
Markdown

# Mungu amezungumza mara moja, mara mbili nimesikia hivi
Hii inamaanisha kuwa Mungu amesema hivi zaidi ya mara moja.
# nguvu ni ya Mungu
"Mungu ndiye myenye nguvu kweli kweli"
# Pia kwako, Bwana, ni uaminifu wa agano
"yeye ndiye anayetupenda kwa uaminifu, kama alivyoahidi"
# kwa kuwa unamlipa kila mtu kwa kile alichokifanya
Mwandishi anazungumzia dhawabu za Mungu kana kwamba analipa mshahara wa kazi.