# Mungu amezungumza mara moja, mara mbili nimesikia hivi Hii inamaanisha kuwa Mungu amesema hivi zaidi ya mara moja. # nguvu ni ya Mungu "Mungu ndiye myenye nguvu kweli kweli" # Pia kwako, Bwana, ni uaminifu wa agano "yeye ndiye anayetupenda kwa uaminifu, kama alivyoahidi" # kwa kuwa unamlipa kila mtu kwa kile alichokifanya Mwandishi anazungumzia dhawabu za Mungu kana kwamba analipa mshahara wa kazi.