sw_tn/psa/019/013.md

32 lines
1013 B
Markdown

# Muweke mtumishi wako pia mbali na
Lahaja hii inaonesha mtumishi kama ametolewa kwenye dhambi ambazo hataki kutenda. "Pia, mlinde mtumishi wako kutokufanya" au "Pia, hakikisha sifanya"
# mtumishi wako
Daudi anajiita "mtumishi wako" anapozungumza na Mungu kama ishara ya heshima. "mimi"
# usiziache zinitawale
Dhambi zinaelezwa kana kwamba ni mfalme anayeweza kutawala juu ya mtu. "usiache dhambi zangu ziwe kama mfalme anayetawala juu yangu"
# sina hatia na makosa mengi
"sina hatia ya kuasi dhidi yako" au "sina hatia ya kutenda dhambi nyingi"
# maneno ya mdomo wangu na mawazo ya moyo wangu
Misemo hii pamoja inaeleza kile ambacho mtu anasema na kuwaza. "vitu ninavyosema na vitu ninavyowaza"
# yakubalike machoni pako
"yapokee kukubaliwa machoni pako" au "yakupendeze wewe"
# machoni pako
Hii inamaanisha Mungu mwenyewe. "kwako"
# Yahwe, mwamba wangu
Mwandishi anamzungumzia Mungu kana kwamba ni mwamba ambao mtu anaweza kupanda kujilinda dhidi ya adui zake. "Yahwe, wewe ni kama mwamba wangu"