sw_tn/psa/016/009.md

16 lines
495 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Daudi anaendelea kuzungumza na Mungu.
# Kwa hiyo moyo wangu una furaha; utukufu wangu unashangilia
Msemaji anasema kwamba kuweza kumsifu Mungu kunamletea yeye heshima. Vishazi hivi viwili vinaeleza vitu vya kufanana. "Kwa hiyo nina furaha, nina heshima kumsifu"
# moyo wangu
Hapa "moyo" unaashiria mawazo na hisia za msemaji.
# utukufu wangu
Matoleo mengi yanatafsiri "utukufu wangu" kumaanisha moyo wa mwandishi, anayekuwa na heshima kushangilia kwa sababu ya Mungu.