# Taarifa ya Jumla: Daudi anaendelea kuzungumza na Mungu. # Kwa hiyo moyo wangu una furaha; utukufu wangu unashangilia Msemaji anasema kwamba kuweza kumsifu Mungu kunamletea yeye heshima. Vishazi hivi viwili vinaeleza vitu vya kufanana. "Kwa hiyo nina furaha, nina heshima kumsifu" # moyo wangu Hapa "moyo" unaashiria mawazo na hisia za msemaji. # utukufu wangu Matoleo mengi yanatafsiri "utukufu wangu" kumaanisha moyo wa mwandishi, anayekuwa na heshima kushangilia kwa sababu ya Mungu.