sw_tn/pro/27/11.md

20 lines
445 B
Markdown

# huufanya moyo wangu ufurahi
"hunifanya kujisikia furaha"
# kisha nitatoa jibu kwa yule mwenye kunidhihaki
"kisha nitajibu kwa yule anayenidhihaki mimi kwa kumwambia habari yako"
# mtu mwenye busara huiona taabu na kujificha mwenyewe, lakini watu wajinga huendela na kuteseka kwa ajili yake
Angalia 22:3
# mtu mwenye busara
mtu mwerevu" au "mtu mwenye akili njema"
# watu wajinga
"watu ambao hawana uzoefu na hawaja pevuka kifikira"