# huufanya moyo wangu ufurahi "hunifanya kujisikia furaha" # kisha nitatoa jibu kwa yule mwenye kunidhihaki "kisha nitajibu kwa yule anayenidhihaki mimi kwa kumwambia habari yako" # mtu mwenye busara huiona taabu na kujificha mwenyewe, lakini watu wajinga huendela na kuteseka kwa ajili yake Angalia 22:3 # mtu mwenye busara mtu mwerevu" au "mtu mwenye akili njema" # watu wajinga "watu ambao hawana uzoefu na hawaja pevuka kifikira"