sw_tn/pro/23/12.md

420 B

Maelezo ya Jumla

Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)

tumia moyo wako kwa

Hii ni nahau "fanya bidii kufahamu na kukumbuka" pia angalia 22:17

mafundisho

  1. "mambo ambayo watu wanakuambia ni mema na yale mabaya" au 2) "vile watu wanakuambia wanapokusahihisha"

na masikio yako

"tumia masikio yako" au "sikiliza kwa makini"

kwenye maneno ya maarifa

"mimi ninapokuambia ambacho nakijua"