# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # tumia moyo wako kwa Hii ni nahau "fanya bidii kufahamu na kukumbuka" pia angalia 22:17 # mafundisho 1) "mambo ambayo watu wanakuambia ni mema na yale mabaya" au 2) "vile watu wanakuambia wanapokusahihisha" # na masikio yako "tumia masikio yako" au "sikiliza kwa makini" # kwenye maneno ya maarifa "mimi ninapokuambia ambacho nakijua"