sw_tn/pro/23/01.md

20 lines
361 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# weka kisu kooni mwako
1) "uwe mwangalifu usile sana" au 2) "usile kitu chochote kabisa"
# usitamani
"usishikwe na hamu sana kupitiliza" angalia 21:9
# vyakula vizuri
"chakula maalumu na vya gharama"
# ni vyakula vya hila
Hii ni nahau "anakupa chakula ili aweze kukudanganya"