sw_tn/pro/23/01.md

361 B

Maelezo ya Jumla

Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)

weka kisu kooni mwako

  1. "uwe mwangalifu usile sana" au 2) "usile kitu chochote kabisa"

usitamani

"usishikwe na hamu sana kupitiliza" angalia 21:9

vyakula vizuri

"chakula maalumu na vya gharama"

ni vyakula vya hila

Hii ni nahau "anakupa chakula ili aweze kukudanganya"