# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # weka kisu kooni mwako 1) "uwe mwangalifu usile sana" au 2) "usile kitu chochote kabisa" # usitamani "usishikwe na hamu sana kupitiliza" angalia 21:9 # vyakula vizuri "chakula maalumu na vya gharama" # ni vyakula vya hila Hii ni nahau "anakupa chakula ili aweze kukudanganya"