sw_tn/pro/22/24.md

20 lines
413 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# mtu ambaye hutawaliwa na hasira
"mtu asiyeweza kutawala hasira yake"
# ghadhabu
kuonesha nguvu nyingi kwa hasira
# utakuwa chambo kwa ajili ya nafsi yako
"utakuwa kama mnyama alaye chambo na mtego hujifunga na hujindwa kujiokoa"
# chambo kwa ajili ya nafsi yako
"chambo ni kitu ambacho mtu amekiweka ili aweze kukuangamiza"