# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # mtu ambaye hutawaliwa na hasira "mtu asiyeweza kutawala hasira yake" # ghadhabu kuonesha nguvu nyingi kwa hasira # utakuwa chambo kwa ajili ya nafsi yako "utakuwa kama mnyama alaye chambo na mtego hujifunga na hujindwa kujiokoa" # chambo kwa ajili ya nafsi yako "chambo ni kitu ambacho mtu amekiweka ili aweze kukuangamiza"