sw_tn/pro/22/22.md

32 lines
639 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
mistari hii inaanza kueleza juu ya "misemo themathini " 22:20
# usimwibie ...kumponda
nyanganya ...dhulumu
# maskini
"mtu yeyote ambaye ni maskini" au "watu maskini"
# kumponda
saga kuwa unga, maana yake kufanyia dhuluma
# mhitaji
'mtu ambaye hana mahitaji kwa ajili ya kuishi"
# kwenye lango
sehemu ambapo watu walileta vitu na kuuza na kuamuliwa mambo mbalimbali.
# Yahwe atatetea shitaka lao
"Yahwe atawatetea wahitaji kutoka kwa wale wanaowaonea" au ""Yahwea atahakikisha kuwa wahitaji wanapokea haki"
# atapokonya uhai wao wale ambao waliwaibia
"atawaangamiza wale ambao wakandamiza watu maskini"