# Maelezo ya Jumla mistari hii inaanza kueleza juu ya "misemo themathini " 22:20 # usimwibie ...kumponda nyanganya ...dhulumu # maskini "mtu yeyote ambaye ni maskini" au "watu maskini" # kumponda saga kuwa unga, maana yake kufanyia dhuluma # mhitaji 'mtu ambaye hana mahitaji kwa ajili ya kuishi" # kwenye lango sehemu ambapo watu walileta vitu na kuuza na kuamuliwa mambo mbalimbali. # Yahwe atatetea shitaka lao "Yahwe atawatetea wahitaji kutoka kwa wale wanaowaonea" au ""Yahwea atahakikisha kuwa wahitaji wanapokea haki" # atapokonya uhai wao wale ambao waliwaibia "atawaangamiza wale ambao wakandamiza watu maskini"